Jinsi Anansi alipata miguu myembamba
Anansi Buibui anapenda kula lakini hataki kazi ya kupika chakula. Anawaza juu itakayomwezesha wenzake wamjulishe chakula kinapokuwa tayari. Lakini kwa bahati mbaya, mpango unaharibika na matokeo ni sababu ya buibui wana miguu mirefu myembamba.